Yupo anauguza majeraha ya kuporwa pesa zake zote alizokwenda kuchukua Dubai na pia A/C zake kufungwa, njaa inamsukuma CCM mda si mrefu atarejea CCM ili apate kuokoa mali zakeNdugu wana jukwaa salaam ! Uchaguzi umepita na sasa ni wakati wa kuchapa kazi kujiletea maendeleo...
Mwezi wa December ndio Corona inarudi round ya piliYuko kijijini anafanya mpango wa kwenda DUBAI kwenda kuchukua fedha ya kujikimu na boss wake wa zamani ; fedha walizoficha huko badala ya kuzileta kwa wananchi kama walivyokubaliana na marehemu Gaddafi!!!
Kisiasa ndio amekwisha kwani hana platform tena ya kupazia sauti;imebakia akafanye biashara ya hotel huko kwao kama atapata wateja wakati huu na corona!!!
Anakula BataAnaunda Baraza la mawachiri.
🤣Anakula Bata