Bernard Morrison arudi Dar, aomba jezi 100 za Simba ili aende nazo Ghana

Bernard Morrison arudi Dar, aomba jezi 100 za Simba ili aende nazo Ghana

BigTall

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
525
Reaction score
1,257
FWU2K8dVEAEzzah.jpg

Andiko la Bernard Morrison: "Mara nyingi tunakatishwa tamaa na wale tunaowapenda na kuwaamini. lakini wacha nifanye hadithi yangu kuwa fupi na rahisi, nahitaji vipande 100 vya jezi za simba kutoka kwa mashabiki waaminifu ili zipewe marafiki na familia nchini Ghana.

"Hii ni kutokana na nyinyi mashabiki kuniaga kwa sababu nitakatishwa tamaa ikiwa nitaendelea kusubiri kupata moja kutoka kwa klabu yangu.

Tafadhali andika jina lako nyuma na namba 3. Anyone interested can bring to me at sea breeze mbezi beach and call me 0745460326. Nimefika Dar❤️ I WILL ALWAYS LOVE YOU ALL THOUGH."
 
Hiyo chizi ameomba vipande 100 vya jezi, hiyo haina gharana, unanunua jezi 1 ya Simba unakata vipande 100 unampatia!
 
Sasa si aende kweny duka la klabu akanunue..vipi klabu ikulipe na ikutafutie Jezi za kwenda kuwapa watu wako.
Hana fadhila huyo alianzisha bonanza lake huko kwao ghana na Mo foundation ikadhamini jezi mbona halisemei hilo?
 

Attachments

  • 20220628_214940.jpg
    20220628_214940.jpg
    102.8 KB · Views: 11
  • 20220628_214920.jpg
    20220628_214920.jpg
    62.8 KB · Views: 13
  • 20220628_214855.jpg
    20220628_214855.jpg
    65.7 KB · Views: 8
  • 20220628_214821.jpg
    20220628_214821.jpg
    49.6 KB · Views: 7
  • 20220628_214748.jpg
    20220628_214748.jpg
    56.9 KB · Views: 8
  • Screenshot_20220628-214607_Lite.jpg
    Screenshot_20220628-214607_Lite.jpg
    79.5 KB · Views: 9
Hiyo chizi ameomba vipande 100 vya jezi, hiyo haina gharana, unanunua jezi 1 ya Simba unakata vipande 100 unampatia!
Hujaelewa na unaonekana ni mweupe sana kichwani. Jamaa alitype kwa ENGLISH na alivyoitranlate kwa Google pale kwenye piece kadhaa ya jezi ndio imetafsiri KIPANDE lkn uhalisia amehitaji Jezi pisi 100.
 
Back
Top Bottom