demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Kwenye Picha Hapa Chini Ni Machachari Anaye Chukiwa na Maadui Akiwa na Wenzake Katika Uwanja wa UYO AIRPORT.
Watatu hawa walikuwa na wachezaji waenzao wakikwea pipa kurejea Bongo katika pambano la kuiheshimisha Nchi.
Bernard Morison hakuwa sehemu ya kikosi cha Timu hiyo kutokana na mahitaji ya kiufundi ya Prof Naasredeen NABI.
BM atapaatikana benchi katika mechi ya mkondo wa pili wa marudiano dhidi ya Rivers UTD.
NOTE:-
Epuka matapeli wanye husda dhid ya mchezaji huyu machachari. BM ni mzima kabisa wa afya, na wala hakufukuzwa kambini, wala hakupandishwa ndege mapema kurudishwa Dar.
BM yupo na atawakanda vyema Rivers UTD ambao watakuja kufunguka kurudisha magoli.
Picha/Link ni kwa hisani ya DAR YOUNG AFRICANS SC LTD.
[]