The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Mchezaji Mpya wa @kengoldsctz Benard Morison amesema lengo lake na wachezaji wengine wamekuja kwa ajili ya kuisaidia Timu ili ipate matokeo Mazuri kwani imekuwa na muendelezo wa matokeo mabovu hivyo kuifanya iburuze mkia ikiwa na pointi 6 tu baada ya kucheza michezo 16 ikibakiwa na michezo 14 mkononi.
Morrison ameyasema hayo leo alipokuwa akihojiwa kwenye kipindi cha Sports Attack cha radio Dream FM iliyopo jijini Mbeya.
Morrison ameyasema hayo leo alipokuwa akihojiwa kwenye kipindi cha Sports Attack cha radio Dream FM iliyopo jijini Mbeya.