Besigye azuiliwa katika gereza la Luzira

Besigye azuiliwa katika gereza la Luzira

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Kiongozi wa upinzani Nchini Uganda, Dkt. Kizza Besigye amekamatwa na amefunguliwa mashtaka ya uhalifu baada ya kuitisha maandamano ya kupinga kupanda kwa bei za bidhaa muhimu na kutaka Serikali kuingilia kati na kudhibithi ongezeko hilo.

Besigye, alikamatwa Mei 24 katika Kituo cha Polisi cha Nagalama hiyo ni baada ya kuwatoroka akari waliokuwa wakilinda nyumbani wake akitakiwa kutotoka nyumbani hapo kwa muda wa wiki tatu.

Alisema: “Ni lazima Serikali ya Rais Yoweri Museveni ihakikishe inatoa ushuru kwa bidhaa muhimu ili kuwezesha raia kuzinunua kwa bei nafuu.”

Mwendesha Mashtaka wa Serikali amesema Mahakamani kuwa alichofanya Besigye kuitisha maandamano inalenga kusababisha uharibifu wa mali.


Source: Monitor
 
Nilipata
Kujua kuwa
MBOWE na Msoga ni marafiki Sana Hadi kisiasa na kifaida!

Lakini hatujui hayo kama ni propaganda au UKWELI!

simulizi ya yoga!!!

TUSUBIRI
 
Besigye na Museveni ni Maswahiba wakubwa sana!! kamwe hawata geukana wale!! hivi mzee km yule ana jeuri gani ya kuwatoroka askari wenye mafunzo?? ....janja za hawa wazeee ndo zile zile walizo pewa na Nyerere!!....nani anajua wafuasi wa okello walipo?

Nani anajua mpinzani mkubwa yulee wa Msevevn alipo?? Lakwena alitumiwa tuu lkn ule muziki ulimshinda mpaka kaenda kusoma! kwa hiari na kazi kubwa kaPewa Huko IMF! siasa za uganda ni matokeo ya mchonga!

Mayahudi wako karibu sana na Uganda hawataki yatokee km yaleee ya Idd Amini...... Lengo la mayahudi ni kupanua Himaya!
 
Back
Top Bottom