INAUZWA Beskeli ya gia inauzwa

INAUZWA Beskeli ya gia inauzwa

Baiskeli hii imeundwa na alumini pamoja na chuma, zilizotengenezwa na kampuni ya Raleigh Bicycle Company na kuundwa rasmi na kampuni ya Shimano Inc. Inatumia magurudumu mazito na yenye sauti ya chini.

Inadadi ya Gia kwenye Beskeli hii ni gia 10. Nyuma kuna Gia 7 na mbele kuna gia 3. Beskeli ina taa la mbele na inataa la nyuma. Ina chupa la maji kutoka Fimbo cycle bottles. Ina indiketa na reflectors za uziku. Ina kapu la mbele linaloweza kubeba uzito wa kilo 20. Pia ina kitako cha nyuma kinachoweza kubeba kilo 50.

Gamba za tairi ni Compass 27 TPI CASING. Ina kufuli yake kwa ajili ya usalama. Beskeli inafaa kwendea kazini, sokoni, mishen town, mazoezi, na masafa marefu pia inapiga.
View attachment 2274930

Ni maalum kwa ajili ya kupanda milima na yenye speed ya haraka kwenye eneo la tambalale. Ni imara zaidi kwani ina uwezo wa kupita kwenye ardhi ya mawe, matope na mchanga.
View attachment 2274931

Wheel Size ni Inches 20,
Colour rangi yake ni Blue. Frame Material ni Steel and Alminium. Brake Style ni Linear Pull (One touch) ambayo inatumia disk.
View attachment 2274932

Bei ni 150,000/=
Kimara mwisho
Mkuu hiyo kamera uako hebu igawe bure tu kwani itakukosesha biashara
 
Mkuu hii baiskeli Mwanzo ukitaka kuuza kwa tamaa sana.. niliiitaka hii Ila ukanikazia..
Ila ukifika 100k nambie
 
Baiskeli hii imeundwa na alumini pamoja na chuma, zilizotengenezwa na kampuni ya Raleigh Bicycle Company na kuundwa rasmi na kampuni ya Shimano Inc. Inatumia magurudumu mazito na yenye sauti ya chini.

Inadadi ya Gia kwenye Beskeli hii ni gia 10. Nyuma kuna Gia 7 na mbele kuna gia 3. Beskeli ina taa la mbele na inataa la nyuma. Ina chupa la maji kutoka Fimbo cycle bottles. Ina indiketa na reflectors za uziku. Ina kapu la mbele linaloweza kubeba uzito wa kilo 20. Pia ina kitako cha nyuma kinachoweza kubeba kilo 50.

Gamba za tairi ni Compass 27 TPI CASING. Ina kufuli yake kwa ajili ya usalama. Beskeli inafaa kwendea kazini, sokoni, mishen town, mazoezi, na masafa marefu pia inapiga.

View attachment 2274930

Ni maalum kwa ajili ya kupanda milima na yenye speed ya haraka kwenye eneo la tambalale. Ni imara zaidi kwani ina uwezo wa kupita kwenye ardhi ya mawe, matope na mchanga.

View attachment 2274931

Wheel Size ni Inches 20,
Colour rangi yake ni Blue. Frame Material ni Steel and Alminium. Brake Style ni Linear Pull (One touch) ambayo inatumia disk.

View attachment 2274932

Bei ni 150,000/=
Kimara mwisho
Aisee si kwa maelezo haya, mkuu siku ukiwa unauza gari sijui itakuwaje [emoji848][emoji848][emoji848]
Anyway umeweka all details sema bei iko juu.
 
Bei ya chuma chakavu imepanda kutokana na vita uko ulaya
 
Baiskeli hii imeundwa na alumini pamoja na chuma, zilizotengenezwa na kampuni ya Raleigh Bicycle Company na kuundwa rasmi na kampuni ya Shimano Inc. Inatumia magurudumu mazito na yenye sauti ya chini.

Inadadi ya Gia kwenye Beskeli hii ni gia 10. Nyuma kuna Gia 7 na mbele kuna gia 3. Beskeli ina taa la mbele na inataa la nyuma. Ina chupa la maji kutoka Fimbo cycle bottles. Ina indiketa na reflectors za uziku. Ina kapu la mbele linaloweza kubeba uzito wa kilo 20. Pia ina kitako cha nyuma kinachoweza kubeba kilo 50.

Gamba za tairi ni Compass 27 TPI CASING. Ina kufuli yake kwa ajili ya usalama. Beskeli inafaa kwendea kazini, sokoni, mishen town, mazoezi, na masafa marefu pia inapiga.

View attachment 2274930

Ni maalum kwa ajili ya kupanda milima na yenye speed ya haraka kwenye eneo la tambalale. Ni imara zaidi kwani ina uwezo wa kupita kwenye ardhi ya mawe, matope na mchanga.

View attachment 2274931

Wheel Size ni Inches 20,
Colour rangi yake ni Blue. Frame Material ni Steel and Alminium. Brake Style ni Linear Pull (One touch) ambayo inatumia disk.

View attachment 2274932

Bei ni 150,000/=
Kimara mwisho
Mku nahitaji kwani elfu Sitini ila napatikana Pugu, Ubungo na kwa Msuguri.
Kama kazi ipo nitafute
 
Back
Top Bottom