INAUZWA Beskeli ya gia inauzwa

Mkuu hiyo kamera uako hebu igawe bure tu kwani itakukosesha biashara
 
Mkuu hii baiskeli Mwanzo ukitaka kuuza kwa tamaa sana.. niliiitaka hii Ila ukanikazia..
Ila ukifika 100k nambie
 
Aisee si kwa maelezo haya, mkuu siku ukiwa unauza gari sijui itakuwaje [emoji848][emoji848][emoji848]
Anyway umeweka all details sema bei iko juu.
 
Bei ya chuma chakavu imepanda kutokana na vita uko ulaya
 
Mku nahitaji kwani elfu Sitini ila napatikana Pugu, Ubungo na kwa Msuguri.
Kama kazi ipo nitafute
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…