Best 5 member wa Jamiiforums mwaka 2020 mwenye ushawishi mkubwa

Mkuu namimi are you serious..?[emoji1787]
Kwa ushawishi upi huo nilionao!

But anyway Kama ni kwenye list yako nashukuru sana kwa hiyo nafasi lkn Kama ni nafasi ya forum kiujumla ha ha ha.. labuda ushawishi wa kunywa juisi kola..[emoji1787]
ushawishi negative mkuu,. na mashiko pia sio positive ni negative vilevile mr Komamanga... bado pia ni ushawishi nlimsahau rikiboy pia
 
Kwa upande wa elimu na technology wafuatao wananikosha hasa wakianza kudadavua na kutuelimisha kuhusu simu na computer na pale wanapobishana wanabishana kwa hoja;
Chief-Mkwawa
kcamp
hazole1
racka98
Mtwara Smart

Kwa upande wa mawazo ya biashara au katika jukwaa la biashara na ujasiliamari
Ninyi siwezi kuwasahau mkiongozwa na nguli wenu na nazani wengi wetu tunamkubali sana CONTROLA
CONTROLA
Wangari Maathai
Kingsman
@Behaviorist

Kwa upande wa ushawishi na uchakataji
ZIRO Q

Motivational speakers
ONTARIO
@mr kuku

Kwa upande wa elimu na afya
Mzizi mkavu
Sky Eclat


Kwa elimu ya anga yaani kufumba na kufumbua unafika sehemu husika, tembea kinyumenyume na vikao vya usiku
@ mshana jr


Kheri ya kristimas na mwaka mpya
Mungu awape afya njema, maisha marefu yenye baraka na neema tele. Pia mungu akawe mlinzi kwa kila hatua za maisha yenu
hazole1
kcamp
CHIEF MKWAWA
Natamani sana kua kama ninyi na nutuamai one day yes hitaji langu litatimia!
 
Shukrani sana Mkuu πŸ™πŸ½ TEAM 666. Katika hili jamvi lenye wanachama zaidi ya laki 4 kuniona nastahili kuwa juu kiasi hicho kwa pumba zangu ninazoandika humu
πŸ™πŸ½βœŒπŸ½
 
+ My sis Carleen
Nyuzi zake zina hoja nzuri, namuelewaga vema
My Sweetheart Lenie ni nini sababu za kunitafutia kuvimba hapa mjini, nianze kuringa mpaka nisiombwe namba uishie kukosa Shem, unanitaka nini lakini.????

anyway, this has been appreciated bbysis, you're too way smart pia Lenie, I real like you..!❀️❀️
 
Yaani unatamani kuwa na taaluma ya mshana ? Au kuna kitu sijaelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…