Best Both Legs Shooter

Best Both Legs Shooter

sergio 5

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2017
Posts
9,405
Reaction score
10,637
Ni vile hajitambui tu ila ni mchezaji pekeake kwa kizazi cha sasa mwenye kipaji cha kutumia miguu yote miwili kwa usawa katika kila kitu

Shida kichwani ni nyeto tu anawaza
20250312_183823.jpg
 
Mkuu hao wote hutokea tu waka shoot ila dembele miguu yote inaweza dribble na kupiga kwa usawa
Nakumbuka ile game yetu Barca na Buyern kabla Dembele ajaondoka PSG.

Raphina alikuwa anacheza kushoto Dembele kulia.

Pavard kamshika vibaya sana Raphina anashindwa kutembea.

Ikabidi Dembele amwambie Raphina aame upande aje kulia Dembele akarudi kushoto na akamiwasha vizuri sana.

Jamaa yuko vizuri kwenye kutumia miguu yote miwili.
 
Back
Top Bottom