Duh jamani, business mara nyingi ni self iniatiative. Unatakiwa uwe na idea na utachotaka kufanya kisha unaanza kutafuta input. Wengine watakwambia nguo na kila mtu atakwambia anachofaham. Angalia eneo ulipo, angalia mahitaji na jitahidi kufikiri hata kuanzia kwakpo wewe mwenyewe huduma gani huwa unahitaji kisha haipo eneo husika au si bora na hivyo hulazimika kwenda mbali. Hapa unatakiwa uje na idea watu watakupa input. Maana idea inapatikana baada ya tathmini ya wateja. Mtu anakutajia mgahawa kumbe ni hitaji la watu wa sinza na si ubongo. Na wewe umeuliza Bongo. Mwingine atakutajia hitaji la Simanjiro.