Ndugu wapendwa,
mimi nina stationery na mara kwa mara napata kazi za kuprint colored documents.
Printer yangu ni HP color laserjet 1250, yaani toner zake ni expensive mno [ around 150,000tsh kwa piece moja, na zinakaa 4
SHIDA YANGU:
1. sometimes hata quality ya picha haiwi nzuri [ inakuwa kama imeshake/blurred]
2. cost ya toner nayo ni kubwa
Ni aina gani ya printer [color] ambayo ni cost effective, printouts za high quality na heavy duty.
NAOMBA MSAADA WENU