Best combination

Best combination

Kenneth kache

Member
Joined
Mar 7, 2014
Posts
38
Reaction score
5
Wana jamii nina mdogo wangu kamaliza form four mwaka jana 2013,sasa dogo ana mashaka kuwa hawata mchagua kwenda form 5,mpaka sasa dogo yupoyupo tu! Amna cha pre form 5 wala nn!!
Na matokeo yake n kama ifuatavyo"!
Civics - C, History - D, Geography - C, English - B+, Kiswahili - B+, Chemistry - E, Biology - D, Basic maths - D.
Na ana div 3 point 27.
Hapo vp atachaguliwa kwenda form 5 mwaka huu 2014.? Na je n combination gan? Em naomba mni saidie wana jamii
 
Labda HKL,Kuhusu point za kwenda form five bado hatujajua mpaka cku commissioner wa elimu atakapo toa ufafanuzi zaidi!cku njema brother
 
Back
Top Bottom