kaka-blaza
Member
- Nov 7, 2019
- 96
- 141
wakuu naamini wengi wetu humu huwa tunafuatilia vichekesho vya youtube kule hasa kutoka kwa wachekeshaji wa bongo .
Mimi binafsi huwa napenda short clips yani vichekesho vifupi vifupi ambavyo mara nyingi huchukua dakika kati ya 3-10, au pengine vichache huenda hadi 15.
ila sasa najikuta nawajua comedians wachache sana wenye clips za namna hiyo.
kwangu mimi ambao huwa nawafuatilia ni
1- Joti kwenye JOTI TV yake
2- Steve Mweusi akiwa na kadogo kake kanaitwa sele
3- bigi-bigi
na kati ya hao, joti ni mkongwe ndio ila steve mweusi anafanya kisasa sana. naomba kama kuna comedian wengine wanaofanana na hao ambao siwafahamu mnitajie hapa ili nikaendelee kufurahisha moyo wangu huko. mnitajie majina ya akaunti zao za mjini youtube kule
LIFE IS TOO SHORT.