Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ngoja nimpigie simu Manji nimuulize .PLUJM hayupo?
Labda waliangalia 3-4Kwa mourhino sawa ila kwa wenger sijui wametumia vigezo gani kumchagua klop over him
Klop amestahili kabisa kumbuka Liverpool ilifika final Europa leaguetamadunikabisa post: 18320290 said:Kwa mourhino sawa ila kwa wenger sijui wametumia vigezo gani kumchagua klop over him
Klop amestahili kabisa kumbuka Liverpool ilifika final Europa league
Sasa kama wewe unaona sawa kwa klop kuwepo kisa kufika fainali europa, vipi kuhusu kocha wa sevilla ambae ndio aliechukua kombe na hayupo? Hawa FIFA nao wanaanza kutushangaza mambo yao kuanzia kwenye nominations za ballon dorKlop amestahili kabisa kumbuka Liverpool ilifika final Europa league
List ipo hapo juu hebu mtafute .Conte vip?
Umeandika ukweli sana .Sasa kama wewe unaona sawa kwa klop kuwepo kisa kufika fainali europa, vipi kuhusu kocha wa sevilla ambae ndio aliechukua kombe na hayupo? Hawa FIFA nao wanaanza kutushangaza mambo yao kuanzia kwenye nominations za ballon dor
Klopp ana record nzuri sana akiwa Ujerumani. Liverpool ni kama ziadaMaximiliano Allegri yuko wapi? Uwezi kumuweka Klopp au Dischamp ukamuacha Allegri
FIFA na tuzo zao ni upuuzi mtupu,hapo watapata wahispania au wanaofundisha la liga,sijui wana ugomvi gani na epl..husda tuOzil hayupo Ballon d or
sanchez hayupo nae
sishangai kwa wenger
hakuchukua alipokuwa invicible sembuse leo
huwez kumuweka nje kocha anaefika hatua ya mtoano ucl kwa miaka 20 mfululizoKlopp ana record nzuri sana akiwa Ujerumani. Liverpool ni kama ziada
Klopp ana record nzuri sana akiwa Ujerumani. Liverpool ni kama ziada