Tz Man Member Joined Apr 10, 2020 Posts 5 Reaction score 0 Apr 23, 2023 #1 Nimebahatika kuziona fainali 5,lakini hii ya Argentina vs France nimeipenda,pale France wanaporudisha bao 2,na ule umakini wa Refarii alipomwona THURAM Marcus kujaribu kupata Penalty akamnasa bila msaada wa VAR
Nimebahatika kuziona fainali 5,lakini hii ya Argentina vs France nimeipenda,pale France wanaporudisha bao 2,na ule umakini wa Refarii alipomwona THURAM Marcus kujaribu kupata Penalty akamnasa bila msaada wa VAR