Pole lol!! I am not trying to mock you ila nimecheka tu.Viper katika ulizo post an all time movie naweza angalia wakati wowote
na with any mood ni Get Shorty na Be cool ( B cool ni muendelezo wa Get Shorty zote za Travolta)
Nyingine zoote napenda saana kasoro Kill the Irish Man (sijaona ila nimeisikia...)
na goodfellas... In fact of all the God Fathers hio number III sio kivileee....
Pole lol!! I am not trying to mock you ila nimecheka tu.
Kill the boss the best movies of all time oopss sorry I meant KILL THE IRISH MANgoodfellas ,the best movie of all time
goodfellas ,the best movie of all time
Hahaha!! My instincts noma eheeee, usijali nitakutumia via PM uiangalie lolzha ha ha... leo najua uliamka kubaya kuhusiana na Alias....
nilipoona hio ya Kill the Irish Man hadi nikahisi umemtuma Viper uli unicheke..
Kill the boss the best movies of all time oopss sorry I meant KILL THE IRISH MAN
Tafuta na movie zifuatazo DINNER FOR SCHMUCKS, HALL PASS, RED RIDING HOOD na TAKE ME HOME TONIGHTNaamini ni nzuri for nishaona Viper ana an excellent taste in movies...
Hizo zoote alizo upload na kuona ni nzuri hivyo it also has to be, nitatafuta...
Hahaha!!! The Sicilian mziki mneneha haa
halafu kuna movie inaitwa the sicilian
na nyingine dinner rush
zote za kitaliano kali sana
Hahaha!! My instincts noma eheeee, usijali nitakutumia via PM uiangalie lolz
Hahaha!!! Umenikumbusha huo usemi kwenye hiyo movie ilikuwa ikifika sehemunacheka sana ila the Goodfellas movie ya ukweli sana naipa 5 starthe finest
kwenye the goodfellas jamaa anasema ukijiunga na mafia ni kama
umepewa the license to steal....na hakuna wa kukufanya kitu....
so ukijaribu to kill the boss,
the mob never forget,lol