Kwenye City of God watoto ambao walikuwa na wao kwenye gangas walikuwa wanauawa thou i didn't like it as well ila Brazil na wenyewe wana Slums za hatariCity of God sikupenda kitu kimoja tu watoto wanauiliwa, niko against violent killings za watoto kwenye movies i.e kwenye The Specialist au Losers.
Mmesahau Untouchables, Public Enemies.
Viper nafikiri kwa mwaka wa 2011 movie ya comedy niliyoangalia na imeniacha hoi and i would suggest you watch it and you will laugh your ass of ni HALL PASS ya Owen Wilsondah nimeongeza hizi kutoka kwenye michango yenu katika hii list nimeona casino peke yake
Gangster Paradise: Jerusalema
Casino
The Sicilian
Carito's Way
The City of God (Cidade de Deus)
City of Men
A bronx Tale
kuna movie mpya ya comedy check trailer hapo chini inatwa paul released 2011 download hapa Download Paul (2011) DVDRip XviD-MAXSPEED Torrent - KickassTorrents