Best hand gun in the world

Hizi manati za kizungu ni muhimu sana kumiliki hasa nyakati kama hizi binadamu wamejaa husuda..
Una uwezo;wa kudhibiti hasira zako? Gun can be very dangerous kama huna control na hasira , mawili ikuue au uende jela kwa kuua .
Sheria za silaha pia hapa kwetu ni kama vile bunduki ndo inatakiwa kulindwa ,sio wewe ulindwe na bunduki!!
 
Una uwezo;wa kudhibiti hasira zako? Gun can be very dangerous kama huna control na hasira , mawili ikuue au uende jela kwa kuua .
Sheria za silaha pia hapa kwetu ni kama vile bunduki ndo inatakiwa kulindwa ,sio wewe ulindwe na bunduki!!
Uko sahihi..
 
B
Tanganyika Arms wana bei kubwa mno, Barreta 92 wanauza 3mil na zaidi

Hadi upate chuma utajikuta umetumia 5mil

Wakati bastola yenyewe haifiki hata dollar 500
Bastola ya nini sasa kama kuitumia ni ishu? Bora tusiwe nazo tu maana unaona kabisa mwana CCM anazingua ila kumpiga hata ya shingo huwezi utazuiwa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hahahah we unabisha wakati Putin ndio kamtumia jamaa yake akafanye kama anavyofanyaga kwenye maabara yake ya silaha
 
B
Bastola ya nini sasa kama kuitumia ni ishu? Bora tusiwe nazo tu maana unaona kabisa mwana CCM anazingua ila kumpiga hata ya shingo huwezi utazuiwa [emoji3][emoji3][emoji3]
Ina umuhimu wake ikitokea lakutokea, ndo maana kwenye zile Form 4 utajaza Kujilinda wewe na mali zako.
 
HIMARS truck haitumwi kwenye bahasha. Unless ukiamua kutumia ushabiki ila kiuhalisia hakuna HIMARS iliyokamatwa
Silaha yoyote ile ikikamatwa lazima aliyeikamata au iteketeza ataonesha tu.

Russia walikamata Javelin, Nlaw, Stinger, Bayraktar wakazionesha kwenye maonesho yao.

Wakamate HIMARS au kuilipua afu wasioneshe video labda wamekuwa wehu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…