Bloodstone
JF-Expert Member
- Feb 16, 2016
- 920
- 994
Hii ndio nyokoNo 1. Glock 17.
Made in AustriaView attachment 2549362
Hii ipo vizuri sana
Hii attachment ya chini huwa ina kazi gani?No 1. Glock 17.
Made in AustriaView attachment 2549362
Yakuulia mtu na siyo ya kufungilia milango...No 1. Glock 17.
Made in AustriaView attachment 2549362
Uo mwanga ni laser ama na bunduki ni auto ama manual π ?No. 6 FN Five Seven (Belgium)View attachment 2549388
Natamani kusikia katika Main Battle Tank nani una mu appreciate?Glock na SIG Sauer ndio kampuni naziamini katika bastola. Kwenye marine technologies kunazo kampuni kama Warstila ya Finland, kwenye radars kuna Raytheon ya Marekani na BAE Systems ya Uingereza. Guns kuna Wajerumani kina Heckler & Koch wa Wabelgiji fulani wako vizuri. Kwenye naval guns kuna Otto Melara ya Italy. Na mengineyo, defense industry ina precision kubwa na inahitaji uzoefu ndio maana si rahisi kuingia
Mimi mkulima nataka Gobore...Wanajf wote tuna bastola.... ambae hauna tunakupa hadi december uwe umenunua, humu hatutaki mbambamba
Sawasawa..Glock na SIG Sauer ndio kampuni naziamini katika bastola. Kwenye marine technologies kunazo kampuni kama Warstila ya Finland, kwenye radars kuna Raytheon ya Marekani na BAE Systems ya Uingereza. Guns kuna Wajerumani kina Heckler & Koch wa Wabelgiji fulani wako vizuri. Kwenye naval guns kuna Otto Melara ya Italy. Na mengineyo, defense industry ina precision kubwa na inahitaji uzoefu ndio maana si rahisi kuingia
π€£π€£Una uwezo;wa kudhibiti hasira zako? Gun can be very dangerous kama huna control na hasira , mawili ikuue au uende jela kwa kuua .
Sheria za silaha pia hapa kwetu ni kama vile bunduki ndo inatakiwa kulindwa ,sio wewe ulindwe na bunduki!!
Nawakubali zaidi Rheinmetall AG ya Ujerumani, kisha General Dynamics ya Marekani, BAE Systems ya Uingereza na Uralvagonzavod ya Urusi.Natamani kusikia katika Main Battle Tank nani una mu appreciate?
Wanajf wote tuna bastola.... ambae hauna tunakupa hadi december uwe umenunua, humu hatutaki mbambamba
Alisikika kijana huyu akimalizia alkasus pale fire awahi hiace za manzese tiptopNawakubali zaidi Rheinmetall AG ya Ujerumani, kisha General Dynamics ya Marekani, BAE Systems ya Uingereza na Uralvagonzavod ya Urusi.
Vifaru hutengenezwa na kampuni za land systems hivyo watengeneza infantry fighting vehicles, amphibious vehicles, armoured personnel carriers, command vehicles ni walewale wa parts za vifaru.
Contractors wengine sio big players duniani ila nawapenda kutokana na mazingira yaliyofanya wawepo. Kama Huta Stawola Wola ya Poland
Naam. Hili halina majadiliano.Wanajf wote tuna bastola.... ambae hauna tunakupa hadi december uwe umenunua, humu hatutaki mbambamba