Best Hip-Hop MC's of all time Bongo (Top five)

Hivi vitu vya kukopi unavitoa kichwani mwako au una ushaidi navyo?
 
Hivi vitu vya kukopi unavitoa kichwani mwako au una ushaidi navyo?
Mkuu Tatizo u meanza kuskiliza mziki miaka ya 2000 wakati wenzio tangu miaka ya 90 . Nyuma ya lyrics za Fid q kuna lines za watu waliofanya game kitambo
 
Mkuu Tatizo u meanza kuskiliza mziki miaka ya 2000 wakati wenzio tangu miaka ya 90 . Nyuma ya lyrics za Fid q kuna lines za watu waliofanya game kitambo
Ni kweli nimeanza kusikiliza miaka ya 2000 means kuna mengi siyajui kuhusu hip hop wewe mwenzangu uliyeanza kusikiliza hip hop toka miaka 90 naomba niletee mifano halisi inaonyesha kuwa mwamba Fid Q anacopy..
 
Sugu Jongwe Mr 2 lazima apewe heshima yke km namba moja hlf ndio wafate hao wengine
Sugu n mc wa kawaida sana, Ila anapewa heshima km mkongwe + kuwa na santuri nyingi sokoni ndo msanii pekee mwenye santuri nyingi
 
Ni kweli nimeanza kusikiliza miaka ya 2000 means kuna mengi siyajui kuhusu hip hop wewe mwenzangu uliyeanza kusikiliza hip hop toka miaka 90 naomba niletee mifano halisi inaonyesha kuwa mwamba Fid Q anacopy..
 
kuna tofauti kati ya mc na rapper...profesa j hawezi kuwa mc,wala j mo wala chid benzi.mangwea ni mc.mpaka ujue mc ni nani ndo utajua
 
Umeaminishwa na wewe ukaamini mfano Leo nikitunga wimbo lakini kwenye mashairi yangu ukakuta maneno "asiyefunza na wazazi atafunza na ulimwengu" ntaonekana nimekopi? Hiyo kitu inafanywa na wasanii wengi include hiphop na bongoflava. doesnt kill you make you stronger LANGA ali rap Kisichoniua kitanikomaza kiaskari.

Kama muelewa utakuwa umenielewa.
 
Acha siasa mkuu...
 
Sugu n mc wa kawaida sana, Ila anapewa heshima km mkongwe + kuwa na santuri nyingi sokoni ndo msanii pekee mwenye santuri nyingi
Duh unafurahisha mno.eti sugu ni mc wa kawaida sana.halafu hapohapo mara country boy mpaka lipstick nae ni mc mkali.
WTF!!
 
Duh unafurahisha mno.eti sugu ni mc wa kawaida sana.halafu hapohapo mara country boy mpaka lipstick nae ni mc mkali.
WTF!!

acha kubishana na toto la juzi shamba hili utaumiza kichwa chako mkuu...

anamponda sugu na solo ulamaa alafu anamsifia country boy siupumbavu huo
 
Namba 4 hapo mstari ulionukuu wa LANGA KILEO MKOMBOZI WA HIP HOP, RAIS WA GHETTO uko hivi," Wananichekea usoni kisogoni wananisema, wanatafuta mabaya wanajifanya hawaoni mema." Ngoma ilikua ya FID Q X PROF J X LANGA- NI HAYO TU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…