Best Hip-Hop MC's of all time Bongo (Top five)

1. GK
2. GK
3. GK
4. LANGA
5. LANGA
 
Hajafika level za fid na hajawahi kuwa level moja na fid kuanzia lyrics,message,flow,punchlines n.k fid ana uwezo wa kuimba nyimbo za aina zote na akafunika mbaya love songs,politics,nyimbo za kujisifia n.k
 
1.Sugu
2.Fid q
3.Prof Jay
4.Solo thang/jay moe/Afande sele
5.Child Benzino/Joh makini/Mwana fa
 
Kwa orodha yoyote sugu ni lazima awepo!
Sugu anaheshima kubwa kwenye historia ya bongo flavor kwa ujumla Ila ukija kiuwezo wa kisanii n wa kawaida mnoo... Na hapa nimebase kwa MA mc's wenye uwezo haijalishi n maarufu Au n underground
 
Katika hzo albums 11 nkikuambia unitajie hata 5 kwa majina nna uhakika hutataja ..hii n dhahiri kabisa kuwa jamaa ndio kafanya mengi but yenye mashiko ni machache
 
Katika hzo albums 11 nkikuambia unitajie hata 5 kwa majina nna uhakika hutataja ..hii n dhahiri kabisa kuwa jamaa ndio kafanya mengi but yenye mashiko ni machache
Eti machache!
Sugu ndo ispiration ya rappers wenu mliowataja kwa list zenu uchwara...ushahidi prof j mwenyewe kakiri,afande ndo useme hadi kwenye nyimbo.
Ndo mc wa kwanza kuachia album kama album 1995(Ni mimi) baada ya Saleh Jabir kuachia kanda mseto yake aliyofotoa toka ngoma za majuu.
Mashow ya nje ndo usiulize kipindi hicho akiwa solo artist toka bongo...unaongea upupu gani aisee
 
The most complete known rapper wa Bongo ni Nikki Mbishi.
Reasons:
- Kuandika anajua (authentic lyricism).
- Freestyles usipime.
- Flow kali kabisa.

Tatizo ni attitude tu ndo haiendani na Industry ya kulambana miguu hapa Bongo.
Na fact kwamba mwana kagoma kubadilika kimidundo.
 
Anatambulika km muhasisi.. Lakini inspirations zimetoka kwa wengine
 
sure mkuu, umeongea ukweli ambao Matozi wanauficha
 
Ntajie albums tano za Sugu unazozijua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…