Best Laptop,Best price for Students, Brand New Toshiba Satelite(C855D-S5100)

Mwana Ilala

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2013
Posts
1,286
Reaction score
488
Kama ww ni Mwanafunzi na unatafuta Laptop kwa ajili ya Shule au kazi zako, Pata hii Laptop kwa Bei sawa na Bure. Imported from USA(Class-1,Its durability is Made for 1st World). Haijatumika kabisa lakini haijaja na Box lake kuepusha Mzigo kuwa Mkubwa. Iko kwenye Nylon.

Hizi hapa ni Specs Zake na Link ambayo waweza ku-google na Kuiona.

Toshiba Satelite-C855D-S5100
»High-definition widescreen LED-backlit TFT-LCD with TruBrite technology (1366x768)
»320GB HD, double-layer DVD±RW/CD-RW, media card reader
»AMD dual-core E-300
»1.3GHz accelerated processor,
»4GB DDR3 memory, number keypad on keyboard
»Wifi 802.11b/g/n, 10/100 Ethernet, »Webcam,
»3 USB ports,
»6-cell Li-ion battery
»Portable 5.5 lbs, 1.3" thin, »Genuine Windows[emoji768] 8 64-bit
»HDMI Port

PRICE: Tsh 620,000/-

Location: Dar-Ilala CityCentre(Ila hata Mkoani naweza kuituma kwa EMS-Posta)

Link:
Notebook Planet: Toshiba Satellite C855D-S5100 Specifications
 
hehehe ngoja ninyamaze.maana kama hyo bei ndo sawa na bure, ingekua na bei sjui ndo ingekuaje!!!!!!!
 
Bei yote hyo ndio useme sawa na bure tutaenda kkoo
 
Bei yote hyo ndio useme sawa na bure tutaenda kkoo


Za Kariakoo utapata kwa 520,000 hadi 450,000 lakini ujue kuwa Quality yake ni Grade 3 kwa ajili ya 3rd World. Haziwezi kuhimili mazingira ya Mikiki mikiki. Na ukiweza kuitumia zaidi ya Mwaka na Nusu Umshukuru Mungu. Mimi nnatumia Toshiba Laptop Tokea 2008 hadi leo. Haijawahi kupatwa na dhoruba yoyote zaidi ya kubadilisha Windows tu(Na wototo wanachezea Games Daily).

Sasa ww go For 3rd Class uone kama utapata kinachoendana na thaman ya Pesa yako.
 
Bei yote hyo ndio useme sawa na bure tutaenda kkoo


Za Kariakoo utapata kwa 520,000 hadi 450,000 lakini ujue kuwa Quality yake ni Grade 3 kwa ajili ya 2nd World. Haziwezi kuhimili mazingira ya Mikiki mikiki. Na ukiweza kuitumia zaidi ya Mwaka na Nusu Umshukuru Mungu. Mimi nnatumia Toshiba Laptop(From USA) Tokea 2008 hadi leo. Haijawahi kupatwa na dhoruba yoyote zaidi ya kubadilisha Windows tu(Na wototo wanachezea Games Daily).

Sasa ww go For 3rd Class uone kama utapata kinachoendana na thaman ya Pesa yako.
 
hivi unafikiri wanafunzi wana hela kama hiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…