Mr Q JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 18,046 Reaction score 38,598 Sep 30, 2022 #1 mkwepu jr Huyu jamaa azawadiwe hiyo tuzo na atambulike kuwa ndiye memba anaye mwaga likes kuliko members wote humu. Kama unabisha andika jina la memba mwingine ambaye unadhani anamwaga likes kwa kila comment ama thread anayokutana nayo. Weekend njema wote ambao mmeshaanza kulewa. Weekend njema wote ambao bado mnavutana kuhusu sehemu ya kwenda kumwagilia mioyo yenu. Weekend njema kwa wote mnaopanga kuchepuka na kusaliti mahusiano yenu. Weekend njema kwenu ambao tayari mmesha tiwa mikononi na ibilisi kwaajili ya kufanya chochote kila kilicho kinyume na hali ya kawaida. Tchao
mkwepu jr Huyu jamaa azawadiwe hiyo tuzo na atambulike kuwa ndiye memba anaye mwaga likes kuliko members wote humu. Kama unabisha andika jina la memba mwingine ambaye unadhani anamwaga likes kwa kila comment ama thread anayokutana nayo. Weekend njema wote ambao mmeshaanza kulewa. Weekend njema wote ambao bado mnavutana kuhusu sehemu ya kwenda kumwagilia mioyo yenu. Weekend njema kwa wote mnaopanga kuchepuka na kusaliti mahusiano yenu. Weekend njema kwenu ambao tayari mmesha tiwa mikononi na ibilisi kwaajili ya kufanya chochote kila kilicho kinyume na hali ya kawaida. Tchao
Jumannnne JF-Expert Member Joined Oct 14, 2019 Posts 667 Reaction score 2,009 Sep 30, 2022 #2 cocastic anamwaga radhi tu humu, mamende minara juu
Mr Q JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 18,046 Reaction score 38,598 Sep 30, 2022 Thread starter #3 ligend said: cocastic anamwaga radhi tu humu, mamende minara juu Click to expand... Ziko wapi alizo mwaga
ligend said: cocastic anamwaga radhi tu humu, mamende minara juu Click to expand... Ziko wapi alizo mwaga
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Oct 1, 2022 #4 Inapendeza...
Ali Nassor Px JF-Expert Member Joined May 6, 2022 Posts 2,384 Reaction score 3,926 Oct 1, 2022 #5 hizo like alizomwaga ziko wap ss tuziikote
reymage JF-Expert Member Joined Aug 5, 2021 Posts 12,203 Reaction score 28,789 Oct 2, 2022 #6 [emoji16][emoji16][emoji16] Sent using Jamii Forums mobile app