ukweli ni kuwa hakuna gazeti la maana hapa nchini.
nikichukulia mfano wa hivi vijisenti vya chenge walivyokuwa wanamtangaza fisadi huyu walisema "kuna kigogo anamiliki mabilioni huko UK" na baada ya magazeti ya UK kumtaja kuwa ni chenge eti nao ndo wakajishaua kumtaja.
so mpaka hapo utagundua kuwa kuna kundi la waandishi either waoga au ni vibaraka wa viongozi.
mara kadhaa tumeona magazeti yakiandika neno "kigogo fulani" na wanashindwa kutaja jina haswa la muhusika ile hali wanakuwa na ushahidi wa kutosha wa tukio husika.
so narudia tena tanzania hakuna gazeti hata lenye afadhali, yoote ni potelea mbali