Best RnB Boy Band Group

mbiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2014
Posts
529
Reaction score
135
habarini wanajamvi,eti kati ya backstreet boys na westlife ni kundi lipi lenye best rnb songs na pia lipi ndo boyband bora?
 
makundi yote yameshasplit but kundi lipi lilikuwa na nyimbo nzuri na pia linaweza get considered kama best boyband group.
 
makundi yote yameshasplit but kundi lipi lilikuwa na nyimbo nzuri na pia linaweza get considered kama best boyband group.

Mkuu ndio unaamka? Sasa poti hii itatusaidia nini incase tukijua?
 
Yale makundi tatizo waimbaji wote walikuwa mabwabwa tuu.
 
one direction ni noma sana,but westlife ni bora zaidi hata kama ilikuwa na bwabwa m1 tu lakini backstreet boys ilikuwa haina bwabwa
 
Kwa wakati huu nawapenda sana The Wanted na One direction but kwa enzi zile westlife waliiteka sana akili yangu.
 
habarini wanajamvi,eti kati ya backstreet boys na westlife ni kundi lipi lenye best rnb songs na pia lipi ndo boyband bora?

Mkuu makundi hayo uliyoyataja yanaimba POP na sio RnB. Makundi maarufu ya RnB ya wanaume ni kama Boyz II Men, Jodeci, Bell Biv Devoe, 112, Shai, BLACKSTREET (Sio Backstreet boys), Silk, Dru Hill, Hi-Five, Mint Condition, Jagged Edge, Next, Az yet na mengine mengi siwezi kutaja yote.
 
Westlife kwangu walikuwa wakali zaidi ya backstreet boys!..
Album zao zilikuwa ni funga kazi kama moja hiyo inaitwa face2face acha kabisa!...
 
Mkuu uko vzr,umenikumbusha enzi hizo chanelo iko juu vibaya na makundi kama Next,Dru Hill yakina cisco,Jagged Edge yaklikuwa balaa!..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…