Mbolabilika
JF-Expert Member
- Jul 30, 2019
- 2,128
- 2,867
Ww utakua hujajua nini inachomaanisha sera ya TZ ngoja nikusaidie, sisi kipao mbele chetu sio miundo mbinu ya maonyesho , lengo kuu kuunganisha mikoa ili miundo mbinu iwe na faida kwa mfano :mtu akilima mazao iwe laisi kuyafikisha soko lolote kwa bai nafuu sio unakuwa na miundo mbinu ya maonyesho wakati mikoani hakuna munganiko inamaana gani sasa?Siku nyingine mkitaka kujisifia mtumie picha za vitu vya kueleweka, kama hivi hapa.Sio hizo barabara ambazo zimeparara alafu mnatuambia eti 'best in africa'.
This is matema kyela TanzaniaIle siku basi mtajenga kama hii over 500km ya kwenda Marsabit na Moyale, si basi mtalipia billboard kutangaza?
View attachment 1194975
View attachment 1194976
View attachment 1194977
View attachment 1194978
Nikajua umeleta credible source kumbe ni utenzi wako binafsi? ππππTanzania inazidi kupanda viwango vya juu katika ubora wa barabara Africa, pictures zinaonesha namna pia maisha na mandhari ya Tanzania yalivyo highly developed and appealing
Angalia miundombinu ya umeme, settlement standards, farms and everything, hii inatoa picture kwamba Tanzania ipo way far than it's ordinary neighbours like Kenya
View attachment 1194946View attachment 1194947View attachment 1194948View attachment 1194949
Kama sio ujinga wa hao jamaa ni nini,Tanroads network ni 35,000km wakati less than 9000km ziko tarmacked wakati Tarura ni zaidi ya 135,000km only less than 1500 km ziko tarmacked eti ndio unaweka billboard kujisifu huo ni ukichaaSijui waimba mapambio huwa mnapeleka wapi akili zenu kabla hamjaanza kusifu, na matokeo yake mnajisifu ujinga. Tanzania ina chini ya 10% ya barabara zilizowekwa lami, halafu ndio iwe bora barani Afrika kwa ubora wa barabara? Au Afrika yako inahusisha Tanzania, Burundi na Sudani ya Kusini pekee?
Acha uongo kutoka Dar to kigoma lami imeishia tabora,Katavi hakuna lami zaidi ya vipisi etc etcNimekujibu kulingana na data ulizozileta mwenyewe kwamba only 6 578km or 7% of the total road network is paved.
Ndio nikakupa mifano ya baadhi ya barabara ambazo ziko PAVED yaani zenye lami.
Sasa nijibu...wewe unaamini kuwa network ya barabara Tanzania zenye lami (paved) ni hizo 6,578 km au 8,000 km? Hii si unaweza fanya homework mwenyewe na kujua makadilio ya km zenye lami TZ? Serious useme only 8K km ni paved in TZ? Duu...basi kazi ipo...kama hatujikubali wenyewe...ni tatizo kwa jamii yetu.
Kuhusu ubora, ukilinganisha EA...naamini Network ya barabara nyingi Tanzania ni bora kuliko hao majirani zetu (Not Africa yote maana sijatembelea nchi zote za Africa) lakini kwa EA hasa KE, UG hawawezi fikia ubora wa barabara za Tanzania...hili hata wewe mwenyewe you'll note the difference ukidrive kwenye hizo nchi. Na kizuri TZ barabara zimesambaa kote kote yaani sio tu Dar...
Nadhani hii pia inachangiwa na upya wa barabara nyingi Tanzania na controlled weight ya magari makubwa ndo inafanya barabara hizi ziwe bora..... mkuu unaweza safiri na Vitz from North of TZ to South, East to West bila shida yeyote na hata kuona shimo barabarani....je tusiite barabara bora?
akili ya huyo jamaa ni yakimaskini sana ila ukitaka kuwauwa wakenya kwa ujinga wao ni hapo tu ,,wajengee nyumba ya udongo kisha wapakie rangi kisha nakshi nakshi na uwaambie kuwa hiyo ni nyumba ya matofali huwa wanakubali [emoji23][emoji23]Ww utakua hujajua nini inachomaanisha sera ya TZ ngoja nikusaidie, sisi kipao mbele chetu sio miundo mbinu ya maonyesho , lengo kuu kuunganisha mikoa ili miundo mbinu iwe na faida kwa mfano :mtu akilima mazao iwe laisi kuyafikisha soko lolote kwa bai nafuu sio unakuwa na miundo mbinu ya maonyesho wakati mikoani hakuna munganiko inamaana gani sasa?
Kwahivyo barabara za Kenya ni za maonyesho? Hahaha! π Nice joke.Ww utakua hujajua nini inachomaanisha sera ya TZ ngoja nikusaidie, sisi kipao mbele chetu sio miundo mbinu ya maonyesho , lengo kuu kuunganisha mikoa ili miundo mbinu iwe na faida kwa mfano :mtu akilima mazao iwe laisi kuyafikisha soko lolote kwa bai nafuu sio unakuwa na miundo mbinu ya maonyesho wakati mikoani hakuna munganiko inamaana gani sasa?