Best Story Tellers humu JamiiForums ambao utapenda wakisimulie kisa chako kipendeze

Best Story Tellers humu JamiiForums ambao utapenda wakisimulie kisa chako kipendeze

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Kuna kipaji cha kusimulia.... Kuna majamaa wanajua kusimulia.kwa kizungu wanaitwa story teller. Hawa jamaa mnaweza mkaona tukio pamoja mwanzo mwisho ila ukamkuta anasimulia sehemu ukapenda kumsikiliza.

Hawa jamaa wana maneno kuntu, wana udambwi dambwi mwingi,pasi na chenga za kutosha.

Yupo GuDume kwa stories aina zote.huyu jamaa hata akiongelea siasa unaweza dhani ni story ni chai ni fix.akizungumzia mademu na mikasi unaweza pata hata hamu ya kusex. Akisumulia kwenye intelejensia unaweza dhani unaona movie live.ana kipaji.

Yupo mzee wa kale Bujibuji huyu akisimulia hbr za miaka ile utadhani mwkaa 1910 alikuwepo...ana kumbukumbu zake nyingine za miaka hata hajazaliwa.. Ha ha ha... Mhenga kijana.

Kina kantalamba huyu jamaa kwa stories za wanamuziki unaweza amini naye alishiriki miaka hiyo.sifahamu kama aliwahi kuwa mwimbaji au laaah lakini anajua sana kusimulia muziki na wanamuziki

Nyani Ngabu jamaa naye ana stories flani hivi sometime anazitoa vizuri sana.

Mimi nina mkasa ambao nataka kumsimulia gudume asimulie kwa faida ya wengi. Tupatie watu wengine story tellers wazuri
 
Mentor is another level!weka mbali na watoto. Gudume namkubali anachekesha balaa
 
General galagadudu hivi ndio huyu amekuwa gudume???

Au
 
Na wewe buji upo vizuri mi nakusoma sana tu. Unajua samtaim napokuwa free kama siku hizi kadhaa nashinda tu jf.nawasoma watu. Nmemsoma mentor yee naye ni mzuri. Unajua nmegundua kila mtu ana aina yake ya usimuliaji...nampenda gudume sababu ni mchekeshaji sana huku anaongea point sometme au pumba. Nilikuwa nadhani ni mtu mmoja na heneral garadudu ila kumbe ni tofaut nmijaribu kuwasoma wote.naye galadudu namkubali kwa kutoa stories na fiks pia....

My best JamiiForums storyteller of all time ni Mentor. Huyu ni kama Sydney Sheldon.
Wengine ni ndyoko, lara 1, mshana jr, GuDume, The bold, Mzee Mwanakijiji, General Galadudu, maggid Na wengine wengi
 
Na wewe buji upo vizuri mi nakusoma sana tu. Unajua samtaim napokuwa free kama siku hizi kadhaa nashinda tu jf.nawasoma watu. Nmemsoma mentor yee naye ni mzuri. Unajua nmegundua kila mtu ana aina yake ya usimuliaji...nampenda gudume sababu ni mchekeshaji sana huku anaongea point sometme au pumba. Nilikuwa nadhani ni mtu mmoja na heneral garadudu ila kumbe ni tofaut nmijaribu kuwasoma wote.naye galadudu namkubali kwa kutoa stories na fiks pia....
I am humbled
 
Back
Top Bottom