Dansel
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 249
- 59
Nikiwa kama mdau, ambae nimeanza ufatilia mziki wetu kwa muda mrefu sasa. Nanimekua mshabiki wa wasanii wengi toka game ya Bongo inaanza kolea mwaka 2001, No dhahiri na wazi kwa sasa hakuna msanii kama Harmonize.
Yaani kwa wapenzi wa mziki nadhani mshaelewa no one do the best, and good in EA kama ye.. maana nyimbo za bwana Yooo... na Kichwa Box Bwana Domo haieleweki anaimba nini sasa.
Yaani kwa wapenzi wa mziki nadhani mshaelewa no one do the best, and good in EA kama ye.. maana nyimbo za bwana Yooo... na Kichwa Box Bwana Domo haieleweki anaimba nini sasa.