THK DJAYZZ
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 2,166
- 175
Hongera sana, hopefully na wewe unamtendea haki.
Sijambo, sijui wewe.Sijakutana nawe kwa karibu tangu ulipotokea msiba.
Haya! Hujambo ?
Kisha baada salamu nasema hujajibu swali la muasisi uzi !
Katika tembea yangu sijaona mwanamke mtamu kama huyu wangu. Kuanzia tabia hadi 10 kwa 10. Kwa kifupi nainjoi maisha kwani sitamani kamwe kumuacha. Nampenda kwa dhati naye pia ananipenda. Vipi kuhusiana na wewe ?
Hongera mkuu ..
Nawaombea maisha mema mpaka
rest home muende pamoja.
Na kuogeshwa waogeshwe pamoja?
Hahahahahaha siingilii zaidi ..
Hey nimekuuliza swali kwa walee wadada ambao hawalalagi ukurasa wa 6.
umahiri wake kwa kuwa anapiga sana kazi za nje ndo mana yupo imaraKatika tembea yangu sijaona mwanamke mtamu kama huyu wangu. Kuanzia tabia hadi 10 kwa 10. Kwa kifupi nainjoi maisha kwani sitamani kamwe kumuacha. Nampenda kwa dhati naye pia ananipenda. Vipi kuhusiana na wewe ?