Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,058 Reaction score 2,195 Jan 9, 2013 #1 Najua sitapata muda tena wa kuwa hapa jukwaani siku za hivi karibuni.ila napenda kuwatakia kila la heri wanafunzi wenzangu wa udsm katika mitihan yenu itakayoanza tarehe 18/01/2013,mungu atujalie sote tuweze kufanya vyema.all the best guys.
Najua sitapata muda tena wa kuwa hapa jukwaani siku za hivi karibuni.ila napenda kuwatakia kila la heri wanafunzi wenzangu wa udsm katika mitihan yenu itakayoanza tarehe 18/01/2013,mungu atujalie sote tuweze kufanya vyema.all the best guys.
Obama wa Bongo JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 5,431 Reaction score 4,925 Jan 10, 2013 #2 best of luck wasomi mimi naamini mtafaulu mpaka watu washangae! maana siku hizi hamna migomo tena ,mmetulia sana
best of luck wasomi mimi naamini mtafaulu mpaka watu washangae! maana siku hizi hamna migomo tena ,mmetulia sana
Good Guy JF-Expert Member Joined Oct 24, 2010 Posts 3,815 Reaction score 1,424 Jan 10, 2013 #3 obama wa bongo said: best of luck wasomi mimi naamini mtafaulu mpaka watu washangae! maana siku hizi hamna migomo tena ,mmetulia sana Click to expand... chezea Mkandala ww!!
obama wa bongo said: best of luck wasomi mimi naamini mtafaulu mpaka watu washangae! maana siku hizi hamna migomo tena ,mmetulia sana Click to expand... chezea Mkandala ww!!
M mjuvi New Member Joined Oct 13, 2012 Posts 1 Reaction score 0 Jan 10, 2013 #4 Tafadhali msiiingie na simu examinations room. Nwatakia kila la heri.