Best wishes kwa wanachuo wote wa muce wanaoanza ue j3 tar.03 jan 2014

Best wishes kwa wanachuo wote wa muce wanaoanza ue j3 tar.03 jan 2014

MWAMLIGO

Member
Joined
Dec 12, 2012
Posts
7
Reaction score
3
kwakweli hata kama mambo yamebana sana na walio wengi hawajui course work zao hadi leo ijumaa na jumatatu Ue ianze,ni wakati ambapo kila mmoja anayeguswa kuomba kwaajili ya jambo hili afanye hivyo,maana kuna hali fulan ya sintofahamu iliyotanda hapa. But, ninachoamin Mungu atabaki kuwa Mungu.
 
Nashukuru mkuu leo ndio tunamalizia pepa ya mwisho Semister Exams hapa DIT B.ENG 13CO
 
Nashukuru, basi nakuomba useme neno juu ya UE ya MUCE na MUNGU atajibu. Ubarikiwe.
 
Kila la kheri wote mnaofanya ue j3,tunawaombea Mungu,sie uku udom upande wa afya mpaka march,kazeni jamani.
 
Back
Top Bottom