M Msafiri Kasian JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 2,133 Reaction score 661 Oct 8, 2012 #1 Kama mnavyoenda kuanza mitihani yenu,muombe Mungu,kaa chini soma kwa makini maswali na kisha ujibu. Ukifanya vibaya mtihani mmoja,usikate tamaa kwa mitihani inayofuata. Acheni kufikiria mitihani kuvuja,someni.
Kama mnavyoenda kuanza mitihani yenu,muombe Mungu,kaa chini soma kwa makini maswali na kisha ujibu. Ukifanya vibaya mtihani mmoja,usikate tamaa kwa mitihani inayofuata. Acheni kufikiria mitihani kuvuja,someni.