Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,217
- 3,694
nawatakia mitihani mema ya darasa la saba...kwa members wote wa jf ambao watafanya mtihani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mm!! siamini kama kuna darasa la saba humu jamvini
Mm!! siamini kama kuna darasa la saba humu jamvini
Watapita wote si unajua lile tangazo la shule ya msingi janja janja,
Mm!! siamini kama kuna darasa la saba humu jamvini
watapita wote si unajua lile tangazo la shule ya msingi janja janja,
Haaaaaaaaaaaaa hv janja janja si ndio shule za kataaaaaa!!!!!!
Wapo wa kukingaaaaaaaaaaa!! We subiri wamalize mitihani utaona sredi za kijinga jinga kibao!
Mkuu hebu nitajie mmoja wao
c programming,mpiga msuli,majutoooo na wengine weng
c programming,mpiga msuli,majutoooo na wengine weng
c programming,mpiga msuli,majutoooo na wengine weng
c programming,mpiga msuli,majutoooo na wengine weng