Best wishes to all udsm students.

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Nawatakia maandalizi mema all guys kwa mitiani yetu tutakayo ianza jumatatu,mungu atutangulie sote kama alvotutangulia wakati wa kusaka courseworks.
 
Chuo raha sn..if u av a good course work..u just relax kwa raha zako
 
course work haigurantee kwamba ndo umejpa aslmia kubwa ya kufaulu ue ndo mpango mzma
 
Daaaaaaaa hapo ndo penyewe

Tutatoka tu, naamin juhud na ushirikiano tulioonyesha tangu mwanzo wa semester utatupatia ufaulu mzuri

Alaf heko kwa viongoz, wafanya kaz na wanafunz wote wa UDSM kwa kumaliza semester
 
Nawatakia maandalizi mema all guys kwa mitiani yetu tutakayo ianza jumatatu,mungu atutangulie sote kama alvotutangulia wakati wa kusaka courseworks.

thanx sana bana hop Mungu atatusaidia na hakika tutashnda...ameen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…