Best yangu kaoa Mchina master wa kung fu, sasa anajuta

Best yangu kaoa Mchina master wa kung fu, sasa anajuta

K 4 LIFE

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2015
Posts
2,567
Reaction score
416
Jamani kuna best yangu hapa mtaani alitokea kumpenda sana mwanamke wa kichina mwishowe wakaoana. Tatizo likaja yule mchina alikua mkorofi sana kila siku jamaa alikua anapigwa sana ma kungfu, makarate na judo mpaka anamkimbia mkewe lakini baada ya miezi 6 hv ndipo jamaa akajagundua kuwa mchina wake ni master wa kungfuu martial arts tena ana black belt ndio maana anapiga sana kungfu.

Sasa amekuja anaomba ushauri kama ampige talaka mkewe hili aepuke na vibano vya mchina wake ama lah!
 
Avumilie tu hakuna kuachana kampenda mwenyewe.
Amwambie tu aache vipigo maisha yaendelee.
 
Wewe binafsi una mtazamo gani na umemshauri nini kama rafiki yako wa karibu
 
Atakuwa kaoa mchina mzee huyo. Idadi kubwa ya kizazi kibichi kinachofaa kuliwa na vijana hawajui kung fuu. Hata wanaotoka Henan province kwenyewe hawajifunzi siku hizi.
 
Atakuwa kaoa mchina mzee huyo. Idadi kubwa ya kizazi kibichi kinachofaa kuliwa na vijana hawajui kung fuu. Hata wanaotoka Henan province kwenyewe hawajifunzi siku hizi.

mkuu hawa watu wasikiage tu wanachapa haoo
 
Avumilie tu ndo maisha yalivyo...

Hakuna ndoa rahisi
 
mwambie afungue shule ya Kung fuu watengeneze hela asiwe mjinga..
 
Back
Top Bottom