BET Awards '09

Yo Yo

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2008
Posts
11,210
Reaction score
1,720
Nani anaangalia BET Awards 2009?
 
Debra Lee anaongea sasa......hii show nzima imekuwa ni kuhusu MJ.....huyu mama anamumwagia MJ masifa......
 
humatarian awards inachkuliwa na alicia keys.....mhh hiki kivazi cha keys..
 
Hehe, Na Wyclef naye kapata humanitarian award.
 

mr fupi......
 
si utani TI kachukua viwer's choice kwa nyimbo yake live ur life shori wake ankwenda kuchukua
 
Tiny mbona amezeeka? Duh! mawazo sijui.
 
video of a year the sasa.....ni lady B
 
mhh jamani samahani Hovva anafaidi sana hapa kwa lady B....mnaona jifiga hilo...
 
Ebanae Bey amenona kama nguva umeona lile guu?
 
Maxwell kakata nywele, heheh najua wanadada wengi hawatafurahia.
 
nikiangalia perfomance zao kuanzia mavazi mpaak speech baada ya kupokea award na kulinganisha na ule upupu wa Kilimanjaro awards nasikia kichefu chefu....
 

Swetz Bizzzle na wifey mashonda na offspring zao....Nyani hio raba ya swizz umeiona nichekia bei.....
 
hili kwanja weezey na baby nalifagilia.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…