BET International ya ripoti live, show ya Diamond Uingereza

mr gentleman

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
3,222
Reaction score
4,689
Kituo cha habari cha kimataifa cha Marekani BET international kilikuwa kikiripoti live kila hatua ya show aliyofanya Diamond weekend iliyoisha uko Uingereza, kupitua kurasa zao za social networks.

Hii ni hatua nzuri kwa msanii wetu kumulikwa na chombo kikubwa na chenye influence kwenye entertainment kama hiki duniani.

Sisi kama Jamiiforums tunazidi kukupongeza na kukutakia heri kwenye safari yako ya sana.
 
hii ni show yake aliyofanya pamoja na Davido, Tiwa savage ukumbi wa o2

 
Last edited by a moderator:
Hivi bado anapiga show kwa kupumulia mic?? Au ameshaimprove??
 
Yaan hua akiwepo warumi anawabana looo

Yaani wana wivu wa kijinga, apa tu silipwi mshahara ila wakiniona roho zinavyowatoka, nadhan ningekuwa nalipwa wangeniua kabisa humu, na watajibeba wakanywe tindikali kama nawaboa, na mimi nipo humu miaka mia, sina likizo wala break, likizo yangu ni ban tu
 
Last edited by a moderator:

Hhhhhaaaa miaka mia wapasuke wavimbe ni wao wafungue forum yao tusikanyage,tutabanana humu humu
 
Hhhhhaaaa miaka mia wapasuke wavimbe ni wao wafungue forum yao tusikanyage,tutabanana humu humu

Nimejaa nipo humu sana tu na nitazeekea humu humu, uzuri wa jamii forum ata ukiwa ulaya umbea kama kawa unapata, so wajipange tu nipo sana humu,
 
Nimejaa nipo humu sana tu na nitazeekea humu humu, uzuri wa jamii forum ata ukiwa ulaya umbea kama kawa unapata, so wajipange tu nipo sana humu,

Hhhhaaaaaaaa lo
 
Hhhhhaaaaa binamu nawe maugomvi yaninii khaa,pole umeumia mno au,ina maana nguvu uliziacha home au ulimsamehe ulikua hujala tu

Mwenzangu si unajua ngumi za kushtukia? Mi nimekazana kuchonga mdomo nikashtukia ngumi la haja usoni, nilipigaje ukunga? Yani wewe ile ngumi plus mshtuko leo ningekuwa mochwari binamu, yaani ila na mimi nimemtundika ngumi ya pua kavujaje damu? Ile anainuka anifuate tu mimi dirisha liko wapi mbio nkaruka, na mboga za majani zangu za kesho nkaziacha kwenye daladala, yan ile ngumi ilinichanganya kiama
 
Big up to Diamond Platnumz, he should take haters as his stepping stone for his success. God bless him
 
wakuache best angu miaka mia
cc DINNAZARDE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…