Hata king'amuzi cha STARTIMES iyo chanel ipo ila daa kweli tuzo zinagawiwa mbele yaan wasanii wote wanakua na mzuka wa kucheza nyimbo ya msanii mwenzao yeyote ile had raha yaan na kule burudan ni baalaa aisee hakunaga kujitenga sijui sisi waimba injiri hatuitaj hizi tuzo za ulimwengu Raha Sana Huko Mbele
kama una king'amuzi cha makaburu DSTV KUNA CHANNEL YAO BET waweza tumia pia .
Hiyo channel ni namba ngapi mkuu bily???