Bet Pawa wamekuwa wezi, hawafai

BASIASI

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Posts
9,732
Reaction score
5,006
Hii kampuni ya kishenzi sana siku hizi ukila hela wanaamua wanakupa saa ngapi.

Hii mara ya nne wanaropoka subiri masaa 48 huu ungese kabisa.

Halafu ina mkurugenzi kabisa aliienda shule hope hajui upuuzi wa wafanyakazi wake.

Muwe makini kama mnahela zenu za kubetia mnataka kupata kwa wakati msibeti na hii kampuni imekuwa kama majambazi.
 
Mkuu nipe odd 20 weekend hii nistake 50k nina shda sana ana 1m
 
Wamekulazimisha kubet nao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…