Upigaji kura ushaanza rasmi Tuzo za BETAWARDA-2017.
Mpigie kura Rayvanny kama "International Viewer's Choice Awards' 2017.
JINSI YA KUPIGA KURA KWA MSHIRIKI.
Kazi ni moja tu unapost picha ya Rayvanny na unaweka Hashtag [HASHTAG]#IpickRayvanny[/HASHTAG] post picha nyingi uwezavyo ilikuwezesha Rayvanny kushinda...Umoja ni Nguvu.
Kumbuka mshindi anapatikana kwa kupigiwa kura nyingi na mashabiki zake.
Post Facebook, Twitter na Instagram na weka Hash tag [HASHTAG]#IpickRayvanny[/HASHTAG]
Kama hivyo hapo juu.
Team Tanzania Team Ushindi.