kumbe Christrian Bella ni member JF
Hahah kivipi mkuu? Just asked for education
Hapana mkuu mim sio mpenzi wa vitu hivyoUmewahi kumsikia akimtaja na wewe pia?
OkOh huwa anamtaja sana hadi napagawa
unataka amtaje nani?Oh huwa anamtaja sana hadi napagawa
Mleta Uzi akila yake ime-base chini...! anathibitisha kwa kusema, "huwa hanapagawa akisikia linatajwa jina Betie Mauzo...!sio betie mauzo ni petie mauzo kasikilize kwa makini sio unakurupuka tu