Kabisa, Mungu amempa ujasiri wa Daudi,Ni mpambanaji, hana uwoga na anajua/alijua the worst thing that can happen ni kumuua sio zaidi ya hapo, he is/was ready for that, wengi wameshapoteza maisha kuanzia kina Ben saanane, Kibao, Mdude ..yana mwisho lakini
Ngoja tusubilie mkuuu, mda utasema, speech yake ya juzi inatia shaka sana mkuu,Mkuu, pamoja na kuwa Butiku katoa upupu lakini huenda siyo yeye amemchomea. Hata hao wasaidizi waliokuwa wanakaa naye inawezakana nao wameshapotozwa. Inawezekana kabisa walitekwa kabla na kuteswa ili watoe info zote na wao wamepotezwa. Sasa tunarudi walijuaje alipo? Kwangu mimi, kukaa sehemu kama Dar ilikuwa ni very risk. Watu wakitaka ku-trace target, huwa wanafuatilia ndugu, jamaa na marafiki 24/7. Kila ndugu wa karibu, rafiki anafuatiliwa nyendo zake muda wote wakiwa na tumaini kuwa ni lazima atapeleka mahitaji au atakwenda kumuaona. Kitu kingine: Ukitumia vyombo vya electronics kama simu huko salama sana.
Ngoja tusubilie mkuuMkuu, pamoja na kuwa Butiku katoa upupu lakini huenda siyo yeye amemchomea. Hata hao wasaidizi waliokuwa wanakaa naye inawezakana nao wameshapotozwa. Inawezekana kabisa walitekwa kabla na kuteswa ili watoe info zote na wao wamepotezwa. Sasa tunarudi walijuaje alipo? Kwangu mimi, kukaa sehemu kama Dar ilikuwa ni very risk. Watu wakitaka ku-trace target, huwa wanafuatilia ndugu, jamaa na marafiki 24/7. Kila ndugu wa karibu, rafiki anafuatiliwa nyendo zake muda wote wakiwa na tumaini kuwa ni lazima atapeleka mahitaji au atakwenda kumuaona. Kitu kingine: Ukitumia vyombo vya electronics kama simu huko salama sana.
mbona alipoitwa polisi hakwenda??Ila kwenye maelezo yake yote hakuna mahali alimtukana mtu! Isipokuwa aliamua kusimama kwenye kile anacho kiamini! Ni bahati mbaya sana ndani ya hizi awamu mbili tumepata bahati mbaya ya kutawaliwa na watu wasiopenda kusikia maoni tofauti na yake wanayo yapenda.
Tumeanza maombi Mungu atende kama ya awamu iliyopita!Kuna habari gani inaendelea Tanzania ? Sisi tupo mbali