Kama una hela nunua Bosch au Varta, warranty 5 years ila sasa hiyo bei yake ndio inaweza kuwa balaa.Wadau naomba kujua ni Betri gani nzuri na imara kwa Harrier 240G kwani kuna Aina nyingi sana za Betri
Sijawahi nunua N50,Bei gani kwa N50?
Vartra ilikuwa inauzwa na Superdoll arround 350,000.Bei gani kwa N50?
Sasa mbona JituMirabaMinne hapo juu anasema eti zinauzwa 750,000/=...arround 350,000.
Cheki nao.
Sasa mbona JituMirabaMinne hapo juu anasema eti zinauzwa 750,000/=
Kumbe jamaa huwa ni muongo sometimes?
Umetoa bokoSasa mbona JituMirabaMinne hapo juu anasema eti zinauzwa 750,000/=
Kumbe jamaa huwa ni muongo sometimes?
Acha kukurupuka.Sasa mbona JituMirabaMinne hapo juu anasema eti zinauzwa 750,000/=
Kumbe jamaa huwa ni muongo sometimes?