BRO SANTANA
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 1,845
- 2,248
Wakuu kwema?
Gari yangu ni toyota runx.
Betri yangu ni ya maji na imeanza kunisumbua yani haitunzi chaji.
Mimi ni mfanyakazi naenda kazini asbh napaki gari mpaka jioni narudi home na paki mpaka kesho asbh tena kazini alafu ni jirani sana.
Sasa najiuliza au sababu sitembei muda mrefu betri haichajiwi vizuri?
Na nimeshabadili maji lkn tatizo bado.
Na gari nilinunua kwa mtu sijajua hilo betri linaumri gani.
Au chajingi system mbovu?
Msaada wakuu maana nataka kununua betri mpya tu naomba ushauri wenu na aina bora ya betri.