Silicon Valley
JF-Expert Member
- Mar 6, 2012
- 1,092
- 1,118
Kama kichwa kilivyo,
Nilinunua battery ya gari March 2019, leo imekufa narurisha dukani , wanagoma kunibadilishia wakidai ilitakiwa ninunue battery kubwa zaidi kwa ajili ya hiyo gari yangu, na tulibadilisha na kuweza saizi ile ile iliokuja na gari, na ndio saizi yake halisi.
Ni wapi niyapeleke haya malalamiko yangu?
Naombeni ushauri.