Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
30Naomba kujua betri ya solar ya N 20 inatakiwa isukumwe na panel ya watt ngap
hivi huwa wanaangalia kigezo gani hasa
Lead acid?Naomba kujua betri ya solar ya N 20 inatakiwa isukumwe na panel ya watt ngapi?
Hebu fafanua kwa maneno hapaLead acid?
Technically ni:-
Charging current = 25% x20Ah
= 5A
Full charged power = 12 V x 5A = 60W
Efficiency (accounting wire losses) = 60W/0.8 = 75W
Solar anywhere 70W mpaka 80W inapiga mzigo optimally kabisa.
A rule of thumb is:Hebu fafanua kwa maneno hapa
Mkuu, mimi nina panel 2 za watts 180@ nahitaji kuweka taa za nje kama 6 za solar ,hapo ni tafute battery N ngapi?A rule of thumb is:
Charging current ya any Lead acid is ideally asilimia 25 ya cavity yake
I. e 25% mara N ya betri.
For instance N20
Charging current (which is taken as max) = .25xN20=5A
Kwa maana nyingine unanunua charger yenye uwezo wa kutoa 5A.
Betri ina voltage tatu
1. Nominal (theoretical, here it is 12V)
2. Absorption charge (full charged battery 13.6V)
3. Bulk charge (when battery initially empty inapakua 14.4V mpaka ikifika 80% ndo ina absorb/equalize 13.6V in an attempt isi overcharge)
With the above terms, 13.6V ndiyo real battery voltage to be used in calculations (12V sio actual voltage ni marketing terms)
Power inayotakiwa kujaza betri la N20?
=13.6x5=68W
System haiwezi kufanya kazi Kwa 100% without losses.
Take it 85%
Kwahiyo solar panel =68/0.85=80W
Look anything >75W available on the shops near you.
Tafuta N 200 (1) au N 150 (2) kwasababu hizo pannel zako zina uwezo wa deliver 360W ambapo zina uwezo wa kuilisha Battery ya N 200 moja au N 150 mbili na N 100 tatu.Mkuu, mimi nina panel 2 za watts 180@ nahitaji kuweka taa za nje kama 6 za solar ,hapo ni tafute battery N ngapi?
Shukran mkuuTafuta N 200 (1) au N 150 (2) kwasababu hizo pannel zako zina uwezo wa deliver 360W ambapo zina uwezo wa kuilisha Battery ya N 200 moja au N 150 mbili na N 100 tatu.
Lakini hiyo yote ni kutegemeana na jua nalo, maana unaweza kufanya hayo yote lakini pia ukaja na swali mbona battery zako hazijai charge.Shukran mkuu
Ni kweli , vipi kama battery ikiwa ndogo yaan N 50 kwa panel 1 ya watts180, battery itakufa?Lakini hiyo yote ni kutegemeana na jua nalo, maana unaweza kufanya hayo yote lakini pia ukaja na swali mbona battery zako hazijai charge.
Kiufupi ni kwamba hiyo betri itajaa ndani ya muda mfupi lakini umefikiria ule muda ambao betri itakuwa imekaa tu huku kuna nishati unaipoteza bure!Ni kweli , vipi kama battery ikiwa ndogo yaan N 50 kwa panel 1 ya watts180, battery itakufa?
Kwa mtu aliyeko kagera na mwingine mtwara wote wana 180w panel mbili hawata hitaji size ya betri sawa.Mkuu, mimi nina panel 2 za watts 180@ nahitaji kuweka taa za nje kama 6 za solar ,hapo ni tafute battery N ngapi?
Hii vipi Bingwa inaweza kutumika na solar panelKwa mtu aliyeko kagera na mwingine mtwara wote wana 180w panel mbili hawata hitaji size ya betri sawa.
Solar power generation inadepend na location, mostly latitude. The amount of power generated determine how much betri capacity is required to store that power!!
For instance :
Same month, January
Average daily sun hours mtwara 6hrs
Average daily sun hours kagera 8hrs
Enwegy per day mtwara 6x180x2=2.16kWh
Energy per day kagera =8x180x2=2.88kWh
Battery capacity mtwara =2.16/12=N180 au 180Ah
Battery capacity kagera =2.88/12=N240 or 240Ah
That make sense?
No. Hii AC/DC charger