BET's cypher: Eminem goes in on Trump

Eminem pia kamwita Mama yake Mzazi bitch au Mbwa jike ambaye anakazwa na Mbwa wengi, Je wewe unaweza kumwita Mama yako mzazi bitch?
Kwa maana unata kulinganisha!
Hivi huwa unaelewa unaposoma au huwa unayaona maandishi tu na kusoma herufi?
 
Nimeelewa, jibu ni sawa kumuuita Mama mzazi bitch? Kwa maana USA kwa mujibu wa Eminem ni sawa!
Sisi tunazungumzia kuhusu Rais Trump kutukanwa, mbona hata nay amemuimba mama yake vibaya vipi alipimwa mkojo? Lakini ilikuwaje nay huyohuyo alipoimba wapo?
 
Tsup, holmes! Long time no see asee!. Dah, after watched that deluge (Coz there's no other proper way of calling it), I realized, Em will go down the books of Hip-hop history as one of the truest MCs to ever hold a mic.

A big PASS.
 
Atatoaje matamshi hayo kwetu, kwani yeye ni Mtanzania? Usikute hata Tanzania haijui.
Weee!! Nchi maarufu sana mkuu itakua ajabu sana km atakua haijui Tz ata kwa kuisikia tu.. Najua si mtanzania bt ni binadamu inaweza tokea siku moja akatua ndani ya ardhi ya tz ila apo ndo nasema isije tokea matamshi yake hayo akayatamka apa kwetu hasa ktk awamu hii atajuta
 

Ahh! ndugu yangu....hivi Tanzania nayo imo kwenye nchi maarufu duniani? Kwa lipi labda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…