Betting imeajiri watu elfu 25 nchini

Betting imeajiri watu elfu 25 nchini

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Nchini (GBT) amesema sekta ya michezo ya kubahatisha imekuwa chanzo cha ajira kwa wengi nchini akiwemo yeye mwenyewe ambapo mpaka sasa zaidi ya watu elfu ishirini na tano (25) wameajiriwa kupitia michezo ya kubahatisha.



Source: #EastAfricaTV
 
Serikali inabidi isiajiri Ili tuendelee kubeti, watu wanabeti
 
Safi sana. Naishauri na Serikali yenyewe iwe inabet. Mkeka ukitiki inakuwa imejiongezes mapato wananchi tupate ahueni ya kodi
 
Mi leo nimesikia serikali imeingiza faida ya Bilioni 200 kupitia michezo ya betting, nikashangaa jinsi hii biashara ina faida kimapato hivo.
 
Safi wazee wamikeka tumekumbuka oya wazee baadae liverpol mpe win huyu luven sijui nn mpe wini QARABAG NA MWENZAKE WEKA BTS TIA LAKI YAKO ULE LAKI TANO HAHAHA MAMAMAMEE ETI NAYO AJIRA NI AJIRA KWA WATU WENYE AJIRA
 
Hao ni walioajiriwa kwenye makampuni ya betting siyo waliojiajiri kwa ku bet
 
Back
Top Bottom