Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Weka beti kiasi unachomudu kukipoteza!Ituambie pia imewatia umaskini watu wangapi
Haitakusaidia kitu.Ituambie pia imewatia umaskini watu wangapi
Punguza kiherehere itakusaidia.Haitakusaidia kitu.
Pombe
Boda boda zimeua watu wengi kuliko betting
Hakuna mtu aliyelazimishwa kubeti sa apo imewatiaje watu umaskini??🤔Ituambie pia imewatia umaskini watu wangapi