Kuendelea kubaki na pesa uliyonayo ni muhimu kama vile kutafuta nyingine..., na wikiendi hii ya FA CUP ninawashauri wadau wakae likizo..., Sababu historically FA Cup huwa ina Upsets nyingi sana Timu ndogo kukamia; kubwa kuzembea..., Timu kubwa kuweka kikosi cha ajabu au ndogo kupaki basi n.k....
Kwahio kama wadau / mdau huwezi kujizuia fanya tu leo kama upo likizo.......
Ila kwa Ushauri mkubwa zaidi kama itawapendeza achana kabisa ni hii kitu....., In the End the House Always Wins.....